|
Huddah kushoto na Diva kulia.. |
Diva Loveness Love apewa maneno mazito na matusi kutoka kwa mashabiki
wanaomfatilia katika kazi zake za hapa na pale. katika kauli hiyo
shabiki huyo alifunguka na kumjadili Diva vya kutosha
Nanukuu "Huyu
diva hivi ana akili kweli kudanganya watu kweupe ndio nini ... Embu
angalieni hiyo picha ndio mtaelewa Yani Kabisa milima na mabonde kuvaa
godoro ndio ili iweje ... Diva acha ujinga unachekwa mjini kwa kutafuta
tako kinguvu acha kuvaa maana shape inajulikana ni Ya simba,, cha ajabu
ukikutana nae hayupo hivyo kabisaaaaaaa... Na camera 360 acha kabisa
unajipimp sana wakati We ni mbaya kuvaa malenz mwisho utapata macancer
Ya macho Bure... ... Swala ni kuacha kuvaa matako bandia usishindane na
hudda mwenzio kaajaliwa
0 Response to "DIVA WA CLOUDS APEWA MAKAVU LIVE KUHUSU "MATAKO YA BANDIA"... SOMA ZAIDI HAPA...!"
Post a Comment