Nakumbuka ilikuwa tarehe 6/2/2013 nilipoleta tatizo kwenye
jukwaa hili kuhusiana na mpenzi wangu kutaka kuniacha kisa siwezi
kumridhisha(zaidi ya goli moja).Nawashukuru sana tena sana,hakika
nakubaliana na usemi usemao MFICHA UCHI HAZAI.Nilifuatilia kwa umakini
mchango wa kila mmoja na kujaribu kuyafanyia kazi.Ilibidi nitafute dawa
kwa wamasai,na nilipotumia nikajaribu sehemu flani (japo sikupenda
kumsaliti nimpendae, aisee,kama kawaida,ka kwanza hakakuchukua hata
dakika mbili (nikaogopa),lakini jamaa alizidi kudaii,kapili zaidi ya
dakika kama kumi,na nilichokuwa nafanya ni kujaribu kujiamini maana
nilishaogopa kuwa siwezi. Siku nyingine nikajaribu sehemu nyingine(kwa
umakini zaidi japo siyo matendo mazuri-Mungu hapendi) nikapiga tatu
japo kakwanza kaliwahi sana.Mpaka sasa nafikiri naweza.
Na bahati mbaya baada mwezi mmoja my girldfriend alonikosoa
akanipigia na kuniambia kuwa hawezi kuendelea na mimi kwa sababu haoni
faida ya kuwa nami kwani siwezi siwezi kumridhisha.Wale mliofuatilia
tatizo langu mtakumbuka.Nikamwambia tatizo langu nilikuwa na
stress,lishe mbovu na nahitaji tuwe pamoja.Nikamwambia mwanaume kama
anaweza kusimamisha huyo ni mzima labda kama mzee hasimami
kabisa,nikamwambia kuwa ajaribu kuuliza hata kwa wakubwa,akasisitiza
kuwa hataki tena kuwa nami.Mi nikamwambia kama Mungu kapanga tuwe wote
utarudi tu baada ya kujua ukweli.
Nami nikakaa kimya kwa wiki kama mbili,naona ameanza kunitafuta eti
nimsamehe tuendelee kuwa marafiki,amegundua hakuna aliyekamilika,hivi
kweli hapa kuna mapenzi ya dhati.Nipeni njia ili siku nikimkamata
nimtafune vizuri mpaka ajutie maneno ya kunidhihaki kuwa siwezi kazi,eti
mimi ni mwanaume suruali.Kwa mwanaume alokamilika,wastani wa dk(la
kwanza,la pili,la tatu huchukua dk ngapi?
Tuesday, 18 February 2014
0 Response to "“MPENZI WANGU ANATISHIA KUNIACHA KISA SIWEZI KAZI KITANDANI”….NIFANJEJE?…!! "
Post a Comment