Hizi
ni picha ambazo zimewekwa mtandaoni na msanii Ommy Dimpoz akiwa
kakamatwa huko nchini Uingereza, kwa mujibu wa Ommy Dimpoz hizo picha
zipo katika Scene ya video yake mpya ambayo soon itakuwa hewani na wewe
kama sahabiki wa Ommy Dimpoz basi kaa mkao wa kula kusubiria kazi nzuri
kutoka kwake
Thursday, 13 March 2014
0 Response to "TETESI ZA OMMY DIMPOZ KUSHIKWA NA POLIS LONDON WAJANJA WANADAI NI UZUSHI NA UWONGO, UKWELI SOMA HAPA "
Post a Comment