Home » Uncategories » KISA CHA KAJALA KULISHWA SUMU NI MUME WA MTU
Tuesday, 4 March 2014
KISA CHA KAJALA KULISHWA SUMU NI MUME WA MTU
Wiki iliyopita muigizaji wa filamu nchini Kajala Masanja alikiri kuwekewa sumu wakati alipokuwa kwenye show ya mwanamuziki Izzo Buzness. Star
huyo aliwahi hospitalini na hali yake kuwa nzuri. Hata hivyo star mmoja
wa filamu akizungumza na Swahiliworldplanet kwa sharti la kutoandikwa
jina lake alisema kuwa Kajala alifanyiwa kitendo hicho cha kifedhuli
kutokana na madai ya kutembea na mume wa mtu ambaye anadaiwa
kumpangishia nyumba ya kifahari "kachukua mume wa mtu huyo Kajala, yes
kuna libaba limempangia nyumba nzima so nahisi ndiyo sababu ya kuwekewa
sumu" kilisema chanzo hicho. Hata hivyo Kajala alijaribu kutafutwa ili kutolea ufafanuzi madai hayo lakini kwa siku mbili hakuweza kupatikana. CREDIT : SWAHILIWORLD PLANET
0 Response to "KISA CHA KAJALA KULISHWA SUMU NI MUME WA MTU "
Post a Comment