Tuesday, 4 March 2014
ULU MICHAEL TULIJUA KATULIA SASA LAKINI WAAPI…ANASWA USIKU WA MANANE AKIDENDEKA NA NJEMBA MOJA..!!
Hii hapo chini ni picha ya Lulu Michael iloyonaswa hivi karibuni akiwa na Njemba huku kashikwa makalio na akipigwa mabusu..!! Hali hii ilishaanza kusahaulika kwa diva huyu wa bongo muvi kuwa na skendo za ajabu tangu atoke jela lakini kumbe athibitisha ule usemi wa wahenga MWENYE ASILI HAACHI ASILI….tazama mwanyewe hapo
0 Response to "ULU MICHAEL TULIJUA KATULIA SASA LAKINI WAAPI…ANASWA USIKU WA MANANE AKIDENDEKA NA NJEMBA MOJA..!!"
Post a Comment