Jacqueline Wolper.
MWIGIZAJI
Jacqueline Wolper, amesema anaumizwa sana na tetesi zinazozagaa kama
moto wa kifuu kitaani kuwa anajihusisha na vitendo vya usagaji.
“Roho inaniuma sana kuhusiana na hizo taarifa sijui niongee nini ili jamii inielewe kile nitachokizungumza, ni ngumu sana kufanya hicho kitu ambacho najua hakimpendezi Mungu kivyovyote vile,” alisema Wolper
0 Response to "SKENDO YA USAGAJI INAMTESA JAQUELINE WOLPER..AFUNGUKA KIIVI...!SOMA ZAIDI HAPA...! "
Post a Comment