MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Rachel Haule ‘Recho’, amefunguka kuwa
ameona umri umeanza kumtupa mkono hivyo ameacha kufanya matukio ya
kitoto ambayo alikuwa akiyafanya kipindi cha nyuma.
Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Rachel Haule ‘Recho’.
Pasipo kuainisha matukio ya utoto aliyoyafanya, Recho alisema:
“Nimekua sasa, yale mambo ya kitoto tupa kule sasa naangalia zaidi kazi ambazo naamini zitaniwekea heshima.
Monday, 24 March 2014
0 Response to " ALIJUTA SANAAAAAAAA SASA AMEACHA UTOTO"
Post a Comment