Mastaa wanaswa laivu wakifanya vitendo vya laana

Baadhi ya mastaa wamenaswa laivu wakifanya vitendo vilivyotafsiriwa kuwa vya kifuska......

 
Baadhi ya mastaa wakionyeshana ufundi wa kucheza.
Tukio hilo lilijiri kwenye Ukumbi wa Letasi Lounge uliopo maeneo ya Victoria, Dar wikiendi iliyopita ambapo kulikuwa na Kibao Kata cha mtoto wa mjini, Rose Alphonce Nungu ‘Muna Love’.

 
Ilikuwa ni full kukata mauno ndani ya Letasi Lounge.
Burudani baada ya kukolea, hali ilikuwa hivi.
Ndani ya ukumbi huo zilishuhudia laana za aina yake ambazo zilikuwa zikiongozwa na mwenye shughuli ambaye alikuwa akikata mauno ya ajabu kwa staili ya ‘baba na mama’ chumbani.

 
Husna Maulid akionyesha ufundi.
Husna Idd 'Sajent' naye akionyesha machejo yake.
Katika hatua nyingine, mwanaume tata anayejulikana kwa jina la Agrey alivua nguo na kubaki na ‘kufuli’ kisha alipanda juu ya kiti na kuanza kuonesha staili mbalimbali za ukataji wa mauno.
 
Sajent na Husna wakizidi kujiachia.
Kingine kilichojiri ni pale shindano lisilokuwa rasmi la kuzungusha nyonga lilipoibuka kati ya watoto wa Ilala linaloongozwa na Baby Tunu na Baby Tau ambao walishindana na watoto wa Kinondoni, Sajenti na wenzake, hali iliyosababisha watu kushindwa kuvumilia na kuinuka vitini.

0 Response to " Mastaa wanaswa laivu wakifanya vitendo vya laana "

Post a Comment

wdcfawqafwef