Jamaa mmoja alijikuta ikimtoka pesa ndefu baada ya kuomba kupigwa busu
na mrembo mmoja wakati
wakiwa chobingo, mrembo huyo alienda kumtembelea
jamaa nyumbani kwake na baadae kuanza kupiga mvinyo, Siunajua tena
masifa na vile tena mitungi imeshaanza kupanda, jamaa akaomba apigwe
busu tu kwani dada huyo alikuwa hataki hata kusogelewa. jamaa alijitoa
muhanga kwa kuahidi kutoa laki tatu endapo atapatiwa busu tuu mrembo
alifikiri ni utani lakini mwishowe alipewa fungu hilo na yeye mwenyeweee
alitoa busu matata. Kama sikosei baada ya pombe kuisha jamaa alijuta
sanaaaa,..!!! Kama ungekuwa ni wewe utamuomba akurudishie au ndio
imetoka hiyo..?
Thursday, 13 March 2014
0 Response to " JAMAA ANUNUA BUSU TUUU KWA KIASI CHA LAKI TATU KUTOKA KWA MREMBO HUYU..!! TAZAMA NA SOMA HAPA "
Post a Comment