Staa wa filamu Yobunesh Yusuph ‘Batuli’ amedaiwa kujiweka kwa Pedeshee
Chifu Kiumbe baada ya siku kadhaa zilizopita kumfuata na kumtaka
amsaidie katika project ya filamu yake .
Kwa mujibu wa chanzo chetu, baada ya msanii huyo kupewa sapoti ikiwa ni
pamoja na gari la kushutia, mdada huyo amekuwa akijionesha kuwa pedeshee
huyo ni mtu wake.
“Alipopewa sapoti hiyo akaona ndiyo ajiweke kabisa bila kujua kuwa Chifu
Kiumbe alikuwa akimsaidia tu na wala hakuwa na wazo la kumtaka,” alidai
sosi huyo aliyeomba hifadhi ya jina lake.
Baada ya habari hizi kunaswa, mapaparazi wetu walimtafuta pedeshehe huyo
ambaye alisema: “Hata mimi nashangaa kusikia watu wakisema natoka na
yule dada, ukweli sijawahi kuwa mpenzi wake alikuja kuniomba msaada wa
project yake nikamsaidia hata gari nilimpatia lakini nimesikia eti
ananiita bebi kwenye mitandao ya kijamii, siyo kweli kabisa.”
Batuli naye anasemaje? Huyu hapa: “Mh! Watu wananisema mengi sana,
waache waseme, mimi naongea na Chifu kawaida tu, hata jana nilimfuata
anisaidie kama wasanii wengine.”
Posted by
Unknown
Related Posts :
PICHA CHAFU ZA KIMAPENZI!!!! UKITAKA KUA NA DEMU BONGO MUVIE JIANDAE KUCHAPIWA...CHEKI ZAIDI HAPA Tasnia ya uigizaji Tanzania maarufu kama bongo muvie imekua ikipanda kila kukicha na kuwanufaisha … Read More...
MADEREVA WA MALORI WAFUNGA BARABARA BAADA YA WENZAO WATATU KUTEKWA NA KUCHARANGWA MAPANGA HUKO TABORA Taarifa zilizoufikia mtandao huu wa malunde1.blogspot.com asubuhi hii zinasema kuwa malori… Read More...
18+..LAANA+AIBU KUBWA AFRICA...ACTRESS AFROCANDY AACHIA PICHA ZA UTUPU WAKATI WA KUTAFUFA WANAUME WA KUCHEZA NAE ALITOA TANGAZO HILI: Nigerian actress,&nb… Read More...
LAANA HII...!!! TAZAMA VIDEO UONE JINSI MTOTO WA MIAKA MITATU AKIFUNDISHWA KUFANYA NGONO NA DADA ZAKE HUKO INDIA .......ITAZAME VIDEO HAPA BOFYA PLAY VIDEO HAPO CHINI KUITAZAMA (+18 ONLY)...… Read More...
HATARI:WANAFUNZI WA KIKE SHULE MOJA BAGAMOYO WANASHIRIKI MAPENZI YA JINSIA MOJA Shule moja ya sekondari ya wasichana iliyopo wilayani Bagamoyo mkoani Pwani, imelalamikiwa na wa… Read More...
0 Response to "BATULI ADAIWA KUJIWEKA KWA CHIFU KIUMBE"
Post a Comment