VIDEO..AIBU+LAANA JAMAN...MCHUNGAJI AFARIKI AKIWA MTUPU GUEST, BIBIE ALIYEKUWA NAYE ADAI ETI ALIKUWA AKIMUOMBEA...MAZITO HAYA...JIONEE MWENYEWE HAPA...

MTU aliyeaminika kuwa mchungaji wa kanisa alikutwa akiwa amefariki dunia huku akiwa utupu mnamo siku ya Jumanne usiku katika chumba cha mwanamke mjini Nairobi BuruBuru area.

Ilisemekana kwamba Mtu huyo alikuwa akijivinjari na bibie mjengoni humo lakini mwanamke alikanusha kabisa na kusema eti marehemu alikuwa akimuombea baada ya kumaliza kumuombea akaenda kupumzika ndipo umauti ukamkuta.  
VIDEO hii hapa chini...

0 Response to "VIDEO..AIBU+LAANA JAMAN...MCHUNGAJI AFARIKI AKIWA MTUPU GUEST, BIBIE ALIYEKUWA NAYE ADAI ETI ALIKUWA AKIMUOMBEA...MAZITO HAYA...JIONEE MWENYEWE HAPA... "

Post a Comment

wdcfawqafwef