Home » Uncategories » TAZAMA UBUNIFUUU..STAILI ZA KU DO MAPENZ KWA WANANDOA.
Monday, 17 February 2014
TAZAMA UBUNIFUUU..STAILI ZA KU DO MAPENZ KWA WANANDOA.
Nimepita
Sehemu fulani, nimeona kuna mzozo eti ni ipi staili nzuri saa ya
kufanya map#nz, kweli hili suala lina mitazamo mingi. Mimi nasema hivii,
staili nzuri ya kufanya Map#nz inategemea na Mwenza wako, mathalani
mwenzio ni mnene au ana umbile kubwa huwezi ukamwambia ulale chini
halafu akulalie juu, nadhani utakuwa unataka kuvunjwa kiuno kama sio
kuteguka kabisa. Kiukweli ziwezi weka picha fulani hapa directly kwa
ajili ya kulinda maadili,
hivyo basi staili kulingana na umbile lako na la mwenza wako hutegemea
na umri wenu pia, na ndio maana vijana hadi umri wa miaka 38 hivi ni
wafanyaji wazuri wa map#nz ukilinganishwa na watu wazima au wazee
kabisa. Hivyo namalizia kwa kusema staili ya mapenzi hutegemea:- Wapnz, Umri wao, Mazingira ya uwanja na Maandalizi yao Kifikra na Hali za afya za wahusika. Kama utahiji zaidi nitumie e mail nami ntakutumia FILE lina sampo nzuri na maelezo haya kwa kirefu.
0 Response to " TAZAMA UBUNIFUUU..STAILI ZA KU DO MAPENZ KWA WANANDOA. "
Post a Comment