Mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa miaka minne iliyopita na nina
watoto wawili wote wa kike. Mwanzoni mwa mahusiano yetu na mume wangu (wakati tukiwa wachumba)
na hata kama mwaka mmoja na nusu hivi kwenye ndoa yetu, baba watoto
alikuwa ananiweza kweli….yaani nikikutana nae…aaah, allahmdullillah,
nilikuwa naiona anga kwa uhalisia kabisa….na akiwa amechoka sana, basi
hata mbili nitapata na kweli nilikuwa najisikia nime…..! Na kwa wiki
nilikuwa napata kama siku nne hivi, yale mapigo ya sawa sawa.
Sasa kwa kipindi kama cha mwaka mmoja hivi…da, baba watoto kwa kweli ana underperform
kabisa….wakati mwingine inapita wiki nzima, sionji na mimi mwanamke
huwa nahitaji…nikimwambia anasema nimechoka sana kazini. Kwa heshima
niliyo nayo kwa mume wangu, huwa namwambia sawa, lakini moyoni huwa
nabaki na maswali mengi kuliko majibu. Huwa nahisi moja kati ya mambno
haya:
1) Huenda mume wangu ameanza mambo ya nyumba ndogo,
so akitoka kazini huenda anamalizia huko huko then akirudi nyumbani
anakuwa hoi
2) Labda umbile langu limemchosha, coz kabla
hatujaoana nilikuwa na bambataa ya wastani na kiuno chembamba, lakini
now sio utani, nyonga imebaki vile vile lakini makalio yameongezeka
mara-dufu, so huwa hafikii pale “Dar es Salaam“ kisawasawa kama tunado ile style ya chuma mboga.
Haya yoye ni mawazo yangu ambayo ninayo moyoni. Sasa sijajua kama
nimuulize au na mimi nianze kupiga show za nje kwani wanaonitongoza
nikiwapanga kuanzia Dar, basi watafika hadi morogoro……tatizo nampenda
baba watoto na nimempa muda wa kama miezi 6 hivi, kama hatobadilika, basi nita-confirm namba (1) ya hapo juu….so na mimi nitaanzia kutafuta wa kurusha nae roho.
Naomba mnisadies what to do at the moment!
Tuesday, 18 February 2014
0 Response to " “Nina Miaka 4 kwenye Ndoa Lakini Mume Wangu hajawahi kunifikisha Kileleni, Nifanyeje?”…Mke "
Post a Comment