Tatizo
langu ni kwamba nimetokea kumpenda sana baba mwenye nyumba wangu
ambaye ana watoto na familia. Kila nikijibaraguza siwezi.
Nimefanya kila mbinu kuzificha hisia zangu lakini nimeshindwa.Kimsingi simpendi mwanamume mwingine zaidi yake.
Nisaidie kuniepusha na mtihani huu mgumu.Asanteni
0 Response to "“Nimetokea kumpenda baba mwenye nyumba Wangu…Kila Nikijaribu kumwambia nashindwa, Nifanyeje” "
Post a Comment