Wanawake wengi wanapeana Raha na Utamu kila siku,lakini ni wanawake wachache sana wanaopata nafasi ya kufika kileleni.Kuna wengine wanapata Raha ambazo sio za kawaida,lakini wanakuwa hawana uhakika kama Raha waliyopata ndio kufika kileleni au ni sehemu tu ya Raha anayopata Mwanamke wakati wa kupeana Raha na Utamu.Na mie Romantic Lovemaker kama kawaida yangu,nikiwa na knowledge,kazi yangu ni kushare na wote,Ukitaka kujifunza,usisome kama Love Story,usisome kama Gazeti,bali Soma kama Notes,weka kichwani vipengele vyote muhimu,kisha nenda kajaribu na Mkeo au Mpenzi wako ili Ndoa au Penzi lenu lizidi kusonga mbele,mzidi kupendana tena sana,
Leo nitaelezea aina na njia za kufika kileleni(orgasm) kwa mwanamke,na pia nitaelekeza jinsi ya kufanya ili iwe rahisi kwa kila mtu kwenda kujaribu mwenyewe,so lets get this orgasm party Started,
1.KUFIKA KILELENI KWA NJIA YA KISIMI (THE CLITORAL ORGASM)
Kufika kileleni(orgasm) kwa njia ya kisimi(clitoris),ni pale Hisia za Raha ambazo ni zaidi ya kawaida,zinaanzia kwenye kisimi,zinatengeneza mawimbi(waves) ya Utamu na kuyasambaza mwili mzima hadi kwenye ubongo.
Kwenye Uke(vagina) wa mwanamke,kuna Sehemu kama nne ambazo zimejaa nerves zinazosababisha mwanamke Apate Raha tena sana wakati wa kupeana Raha na Utamu,na mojawapo kati ya hizo sehemu nne ni kisimi(clitoris).
Ingawa ni kweli kisimi ndio kimejaa Raha na Utamu tena sana,lakini wanawake wanatofautiana linapokuja swala zima la kumsisimua(kumstimulate) mwanamke kupitia kisimi chake.Wengine inabidi utumie nguvu kidogo,wengine kawaida na wengine taratibu kutegemeana na usensitive wa visimi vyao(haijalishi kama unatumia kidole au ulimi).
JINSI YA KUMFIKISHA MWANAMKE KILELENI(ORGASM) KWA KUTUMIA NJIA YA KISIMI(CLITORAL ORGASM)
Ziko Njia Mbili,
Njia ya Kwanza ni kwa kutumia KIDOLE(finger),follow steps zifuatazo;
- Hakikisha(make sure) vidole vyako ni visafi na kucha zako fupi sana.
- Kabla hujaanza kumsisimua(kumstimulate) kisimi chake,hakikisha umeshatumia zaidi ya dakika 10 kumsisimua maeneo mengine ya mwili wake kama vile matiti(boobs),lips,mapaja,makalio n.k(inatakiwa uke wake uwe umeloa(wet) kabla hata hujaanza kusisimua kisimi chake)
- Tumia majimaji ya uke wake kukilowanisha kidole chako(kama bado yupo dry na ushawaste zaidi ya 10 minutes kwenye foreplay basi tumia lubrication nyingine yenye asili ya majimaji,ukido tofauti na hapo utaishia kumuumiza badala ya kumpa Raha)
- Anza kusugua kisimi chake taratibu huku ukiangalia kwa makini jinsi anavyorespond to it
- baada ya dakika 1 ongeza speed kidogo kisha observe jinsi anavyorespond to it
- Usiongeze na kupunguza speed mara kwa mara unaweza ukampotezea mood(ataishia kusikia Raha na Utamu lakini hatofika kileleni)
- Important-Sugua katika mpangilio au direction inayoeleweka kwa zaidi ya dakika 5 bila kubadilisha ili asipoteze mood katikati ya safari yake ya kufika kileleni(kama ulikuwa unasugua in circles(kwa kutengeneza duara) basi fanya hivyo mpaka 5 minutes ziishe,kama ulikuwa unasugua kutoka juu ya kisimi kwenda chini,au chini kwenda juu,basi fanya hivyo mpaka dakika 5 ziishe ndio ubadilishe)
- Uvumilivu(Patience) ndio siri ya mafanikio,kwa sababu mpaka afike kileleni ni baada ya dakika 10 au 15 kutegemeana na kisimi chake kipo sensitive kiasi gani au yeye mwenyewe ana Hamu kiasi gani
Hii njia ya Pili ni Uhakika zaidi na ni Shortcut zaidi kuliko kutumia kidole,
Njia ya Pili ni kwa kutumia ULIMI(tongue),follow steps zifuatazo;
Au kabla hujaingiza mashine yako kwenye
uke wake,unaweza ukasugua kisimi chake kwa kutumia kichwa cha mashine
yako(make sure hicho kichwa cha mashine yako kipo wet),sugua mpaka aanze
kulalamika na kukulazimisha(kukuforce) uingize mashine kwenye uke
wake,na ukitaka adate zaidi,usimsikilize,wewe endelea tu mpaka aingize
mwenyewe,kama asipoingiza mwenyewe endelea mpaka afike kileleni(baada ya
dakika 5) baada ya hapo ndio uingize,uendelee na mambo.
Hii ni mojawapo kati ya njia za kufika kileleni kwa mwanamke,ambapo Hisia za Raha na Utamu zinaanzia kwenye uke wake,hizi hisia za Raha zinaweza zikaishia kwenye maeneo ya nyonga au chini ya tumbo.
Na kama wewe ni mwanamke utajua kuwa umefika kleleni pale utakapohisi misuli(muscles) ya uke,uterus,nyonga(pelvic) na hata (anus) inaanza kukaza(contract) huku ukiendelea kufeel Raha tena sana.
Na unaweza ukajikuta unamkumbatia kwa nguvu either kwa miguu au kwa mikono mwanaume kutegemeana na Style mnayotumia ili mradi tu asiache kufanya kile yeye anaendelea kufanya.
JINSI YA KUMFIKISHA KILELENI KWA NJIA YA UKE(THE VAGINAL ORGASM)
Hakikisha umempasha joto vya kutosha(make sure she get enough foreplay),bila foreplay ya kutosha itachukua muda mrefu zaidi kumfikisha kileleni kwa kutumia njia hii.
Mashine yako ikiwa ndani ya uke wake,siri ya kumfikisha ipo katika uwezo wako wa kucontrol speed na jinsi unavyothrust.
Itachukua kama dakika 20 mpaka dakika 25 ndio ataweza kufika kileleni kwa kutumia njia hii,kwa hiyo unatakiwa uwe mvumilivu na pia jizuie usicum mapema(ukitaka kujua siri za mambo ya kufanya ili uweze kuchelewa kucum basi click).
3.KUFIKA KILELENI KWA NJIA YA G-SPOT (THE G-SPOT ORGASM)
Grafenberg Spot a.k.a G-spot ni kidude laini kama sponge chenye umbile la haragwe(bean) ambacho kipo ndani ya uke,kwenye upande wa juu(upper walls),inch 2 mpaka 3 kutoka nje kuelekea ndani.
Angalia picha chini kwa maelezo zaidi.(Point G ilipo ndipo G-spot ilipo,unaweza kuifikia hata kwa kidole cha kati kama hapo kwenye picha)
Wakati Mwanamke anapozidi kupata Hamu ya Kupata Raha na Utamu,kuna tissue ambayo ipo karibu na imezunguka urethra,inakuwa engorged with blood,na kusababisha skenes glands zitengeneze prostatic fluid na kufanya hicho kiharagwe(g-spot),kiwe erect(kidinde/kisimame).
Process yake haina tofauti na process ya kusimama kwa mashine ya mwanaume(nimesema yote haya ili uelewe kuwa kama hujazipandisha hamu zake vya kutosha,basi itakuwa kazi sana kukipata kidude hiki)
JINSI YA KUMFIKISHA KILELENI KWA NJIA YA G-SPOT(G-SPOT ORGASM)
hakikisha umeshampa foreplay ya zaidi ya dakika 10,inatakiwa awe teyari uke wake upo wet kabla hujaanza kusisimua G-spot yake,kuna Njia mbili za kusisimua G-spot yake,
Ya kwanza ni kwa kutumia KIDOLE au vidole(itadepend ukubwa wa uke wake),na hii mara nyingi inatumika au inafaa kutumika wakati wa foreplay,follow steps zifuatazo
- hakikisha kucha zako fupi na mikono yako misafi
- hakikisha uke wake umeloa(wet) vya kutosha
- akiwa amelala kitandani,ingiza kidole kimoja(kama uke wake upo tight) au zaidi ya kimoja(kama uke wake sio tight sana au upo loose kidogo)
- elekeza(direct) kidole/vidole vyako viende upande wa juu wa uke(upper vagina wall)kwani huko ndio G-spot ilipo.
- Kidole/vidole vyako vitafeel kinyama au kisponge kilaini ambacho kina umbile kama kiharagwe upande wa juu wa uke
- ukishakipata,anza kukitekenya(tickle) kwa kufanya kama vile unamuita mtu au unamwambia mtu alete kitu kwa ishara ya vidole(yaan namaanisha,usiwe unamfinger kama ulivyozoea ambapo mkono,kiganja (palm)hadi kidole vyote vinahusika,hapa inatakiwa mkono utulie tuli,na hata kiganja(palm) pia,kinachotakiwa kucheza ni kidole au vidole tu,na wala visitoke nje kwa sababu g-spot inahitaji au inataka msisimko unaoendelea(continuous stimulation).
- endelea kufanya hivi,baada ya dakika 1 ongeza speed kidogo kulingana na the way anarespond
- EXTRA PLEASURE-Unaweza kumfanya azidi kudata na kuwa chizi kwa kulamba au kunyonya kisimi(clitoris) chake at the same time unaendelea kustimulate G-spot yake with your finger/fingers
- Ukitumia Extra Pleasure wala hata haitochukua muda mrefu,atafika kileleni fasta,atahangaika mwenyewe hapo kitandani,kujigeuza geuza na kujinyonga nyonga,ataongea lugha za ajabu zisizoeleweka au atapiga kelele,kwa hiyo jipange,tena anaweza kusquirt kabisa yaani(ntaelezea kusquirt kwenye namba 4)
kwa mfano;ukiwa unatumia style ya missionary(kifo cha mende),weka mto mmoja chini ya makalio yake ili kufanya uke wake na mashine yako viwe katika level moja.Baada ya hapo,pump kuelekea juu.n.k
0 Response to "MUHIMU:JE UMEWAHI KUFIKA KILELENI? ZIFAHAMU NJIA NA AINA TOFAUTI ZA KUFIKA KILELENI KWA MWANAMKE (KNOW TYPES OF FEMALE ORGASMS)"
Post a Comment