JOYCE KIRIA: (PICHA) WANAWAKE WA TANZANIA TUKIMBILIE WAPI?

TAHADARI KWA PICHA HIZI!

Tukio hili limetokea kama wiki moja iliyopita, huko wilaya ya BUKOMBE mkoani GEITA.
Tukio hili liliripotiwa na RFA. Ni matukio yanayotokea mara kawa mara, wahanga wakubwa (watendwa) ni WANAWAKE.
Cha ajabu hakuna juhudi za makusudi za kutokomeza vitendo hivi. Wanawake tusimame pamoja kusema inatosha kwa unyama huu mkubwa tunaofanyiwa!

Poleni kwa picha hii mbaya sana, lakini tafakari maumivu aliyopata huyu mwanamke maskini ya Mungu...

Natamani hamasa ya kutokomeza ukatili ingefanyika kwa chopa kama....... Malizia mwenyewe!

0 Response to "JOYCE KIRIA: (PICHA) WANAWAKE WA TANZANIA TUKIMBILIE WAPI? "

Post a Comment

wdcfawqafwef