Mh. Lowassa audhuria mazishi ya kada wa ccm monduli


Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu David Pelo Kivuyo aliekuwa
Diwani wa zamani wa Makuyuni.Pelo ambaye pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Monduli, alifariki tarehe 22 Desemba na kuzikwa nyumbani kwake Makuyuni leo Desemba 28.Alifariki kutokana na maradhi ya shirikisho la damu.
Chanzo;michuzi blog

0 Response to "Mh. Lowassa audhuria mazishi ya kada wa ccm monduli"

Post a Comment

wdcfawqafwef