BAADA YA MUZIKI KUMKOLEA BI. DADA AANZA KUVUNGUO, MMMH HAPA KAZI IPO..JIONEE MWENYEWE HAPA

http://theclicktz.blogspot.com/
Shabiki mmoja aliyekuwa amelewa sana wa djay aliyekuwa akitumbuiza katika umbi fulani wa mziki aliamua kuvua nguo zote baada ya kunogewa na mziki uliokuwa ukipigwa na djay huyo. watu wa usalama walikuja kumtoa baada ya kuona anaeleka kuharibu utaratibu wa ukumbi huo..!! CHUNGA, USINYWE POMBE KUPITA KIASI..!! POMBE SIO CHAI..

0 Response to " BAADA YA MUZIKI KUMKOLEA BI. DADA AANZA KUVUNGUO, MMMH HAPA KAZI IPO..JIONEE MWENYEWE HAPA "

Post a Comment

wdcfawqafwef