Kuna aia ya mavazi ambayo yanastaili kuvaliwa sehemu fulani ili kulingana na hali ya mazingira ya eneo
husika.
Leo tunawashauri akinadada muwapo chumbani hasa maeneo ya joto kuvaa vazi la khanga kama inavyoonesha hapo.
Tuesday, 11 March 2014
0 Response to "Vazi hili linamvuto sana ukilivaa ukiwa na mumeo chumbani."
Post a Comment