UWIIIIII!!! NI AIBUUUU MDADA AISAKATA NGOMA BALAA BAADA YA KUKOLEWA UNAJUA NINI KIMEFATA??? NI FULL KUSAULA NGUO NA KUACHA UTAMU WOTE NJEEEE...!!CHEKI MWENYEWEEEE.


Ni ukweli usiopingika kuwa maadili ya kitanzania yanashuka kwa kiwango cha hali ya juu sana na kuisahau utamaduni wetu sikatai watu wa zamani walifunika miili yao sehemu nyeti tuu lakini ilikuwa kutokana na hali halisi ya wakati huo 

Mimi nasema nyie mapromota wa mziki Tanzania kama umeaanda sho mtu kava vyongo kwanini usimzuie bwana mbona tunajizalilisha sana Mwanamke leo hana thamani kutokana na upuuzi wa wachache wanajirahisisha
Serikali ya Tanzania tunailaumu bure watanzania tutazidi kupiga kelele juu ya serikali kila siku ifike sehemu wenyewe tubadilike hebu jaribu kutazama hizi picha ambapo kuna watu wengi walishuhudia tukio hili wengi wanasema wanafanya hivyo kutokana na kukosa ajila ukweli ni kwamba kulazimisha maisha ya mjini na kuiga ndio tatizo kubwa kwa vijana wengi ila na wazee wapo siku hizi
WANAUME ; nyie ndio mnasababisha vitu kama hivi kuendelea kutokea hapa nchini kwani ukimuona mtua kafanya vyongo mpinge sasa vidume wa bongo ndio watataka kuangalia zaidi tubadilike jamani

Related Posts :

0 Response to " UWIIIIII!!! NI AIBUUUU MDADA AISAKATA NGOMA BALAA BAADA YA KUKOLEWA UNAJUA NINI KIMEFATA??? NI FULL KUSAULA NGUO NA KUACHA UTAMU WOTE NJEEEE...!!CHEKI MWENYEWEEEE. "

Post a Comment

wdcfawqafwef