Home » Uncategories » MKE WA MTU AFUMANIWA GESTI AKIWA NA MUME WA RAFIKI YAKE!!!!!!!!! TAZAMA PICHA ZOTE HAPA
Sunday, 16 March 2014
MKE WA MTU AFUMANIWA GESTI AKIWA NA MUME WA RAFIKI YAKE!!!!!!!!! TAZAMA PICHA ZOTE HAPA
Sukari
hugeuka shubiri pale fumanizi linapochukua nafasi na hiyo ndiyo sababu
ya mwanamke anayeitwa Sheila kukiri kwamba mume wa mtu ni sumu kisha
kujiapiza kuwa hatarudia tena.
Sheila, alifumwa na mume wa mtu anayeitwa Baba Joyce kwenye nyumba moja ya kulala wageni, iliyopo Manzese. PAPARAZI
lilinyetishiwa fumanizi hilo baada ya vurugu kuanza na lilipofika eneo
la tukio, lilimkuta mwenye mume, Mama Joyce akimsulubu Sheila kwa
makonde, mateke na vichwa. Shuhudia picha hapo chini
0 Response to "MKE WA MTU AFUMANIWA GESTI AKIWA NA MUME WA RAFIKI YAKE!!!!!!!!! TAZAMA PICHA ZOTE HAPA"
Post a Comment