Watu wengi hujiulizia kama kuna dawa ya asili ya kurejesha bikira kwa wanawake.
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitaalamu,
mwanamke anaye tumia dawa za kichina kwa ajili ya kurejesha bikira yake
anajiweka katika hatari kubwa sana ya kupatwa na ugonjwa wa kansa
kutokana na kemikali mbalimbali zinazo patikana katika dawa hizo.
USHAURI WETU :
Tunashauri usitumie dawa za kichina kwa ajili ya kurejesha bikira kwa sababu madhara yake ni makubwa sana.
UTUMIE DAWA GANI?:
Hakuna dawa ya kurejesha bikira,
dawa za asili zilizopo ni dawa zinazo fanya kazi ya kuufanya uke kuwa tight
sana lakini hauwi bikira.
Bikira ikishatoka haiwezi kurudi tena.
0 Response to "NINI UFANYE ILI BIKRA YAKO IRUDI..!! "
Post a Comment