Siku
hizi si jambo la kushangaza kuona mwalimu anatoka na mwanafunzi wake
ili tu mwanafunzi apate majibu kwenye mtihani. .........
Imekuwa
ni kawaida kabisa kwa wanafunzi kufanya mapenzi madarasani au
mabwenini. Lakini cha kushangaza walimu wapo na hawasemi lolote......
Kuweni
makini wanafunzi .Ni bora mkakumbuka kuwa mmeenda shule kusoma na
siyo kufanya ng0n0 na wanafunzi wenzenu au walimu wenu.
Naamini kwa picha hizi, ujumbe utakuwa umeifikia jamii kuhusu maadili ya watoto wetu katika shule mbalimbali
0 Response to "KAZI IPO SASA WANAFUNZI WA MBEZI SEKONDARI NAO HAWAKO MBALI NA WALE WA CHUO, NAO WAJIPGA PICHA ZA UCHI BILA HAYA, SASA SWALI ...KUNA KUFAULU KWELI "
Post a Comment