, maumbile ya kike yanaitaji kupumua ili kuzuia maambukizi kama vile fangasi ndio maana madaktari wanashauri kulala bila nguo au kuvaa vinguo vyepesi Dr. Grace Obong, anasema ya kwamba wakati wa mchana wanawake pia uvaa chupi mbalimbali na nguo za kubana ambazo ufanya sehemu zao za siri kupumua kwa shida sana anaendelea kwa kusema kuwa ingawa inashauriwa wanawake kvaa material aina ya pamba lakini wanawake wengi hawapendelei kabisa aina hiyo ya nguo za ndani hivyo ni muhimu wakati wa kulala usiku kuacha maumbile yapumue vizuri... dr huyo anashauri kuvaa boxer pamoja na pajama baadhi ya magonjwa au maambukizi yatokanayo na kukiuka hayo hapo juu ni pamoja na
Bacterial vaginosis
maumbile
yakike yameumbwa kuwa na bacteria ambapo ubalance bactria wazuri ni
wengi ukilinganisha na bacteria wazuri maambukizi yaitwayo Bacterial
vaginosis utokea pale mlingano huu unaposhindwa kubalansi mwanamke
mwenye maambukizi upata adha ya kutokwa na majimaji yenye harufu mbaya
na pia wachache ulalamika kupata harufu ya shombo la samaki mara baada
ya tendo landoa majimaji hayo yanaweza kuwa na rangi ya maziwa au grey
na dalili zngine ni kuungua wakati wa kukojoa magonjwa mengine ni kama
yeast infection na mengine mengi.. dr anamaliza kwa kusema ni mda wa
kulala natural na kuepuka unyevu unyevu uso kuwa wa lazima huko chini
0 Response to "HAYA NDIYO MAZARA YA KUVAA CHUPI KWA WANAWAKE WAKATI WA KULALA, NA PIA KUVAA CHUPI MATERIAL TOFAUTI NA PAMBA SOMA HAPA "
Post a Comment