Ukijaliwa kuwa
Msichana mzuri na mrembo,usidhani
utatetemesha kila
wakohauwasumbui,kama bichwa lako ni
kanyaboya,uzuri
wako hausaidii kitu,na utashangaa no one is paying
attention,watu utakaowapata ni walewale kanyaboya
wenzako,na hawana
futuretabaki unaliwa bure kila siku
unatoa macho. Ukipata mwanaume anakupenda unaanza
drama zako na kupiga watudanadana,madai yako hujali na
unadhani hata akiondoka
utapata
mwingine kisa wewe ni
mzuri,la hasha! Mwanaume akijitoa
mhanga kukupenda kwa uzuri wako
mheshimu,maana viumbe
wa kike wakiwa wazuri ni shida na matatizo hakuna mtu
anataka,sasa ukimwongezea na drama pamoja na yeye kujigeuza mpalestina kwako
utajikuta umeolewa na
kioo cha chumbani kwako,maana
hicho ndo kinakudanganya sana
kwamba we ni mrembo,
Watch out,drama zina mwisho,leo unacheza na
mioyo yawatu unajiona we kifaa,usidhani wanaume hawaumii,tunaumia sema hatusemi
tu,machozi yetu kama ya samaki,tunalia ndani kwa ndani
0 Response to "AKINA DADA WANAOJIONA WAZURI HII INAWAHUSU"
Post a Comment