NOUMA...POMBE BANA..STAA WA BONGO MOVIE SHAMSHA FORD ATIBUA HALI YA HEWA KWENYE KIKAONI...!

Shamsa Ford.
UA zuri kunako anga la sinema Bongo, Shamsa Ford amejikuta akipoteza utulivu kikaoni kufuatia kuinuka na kuzama toileti mara kwa mara. Tukio hilo lilichukua nafasi hivi karibuni kwenye kikao cha mdahalo wa
kugombea nafasi za viongozi wapya wa Klabu ya Bongo Movies katika Viwanja vya Leaders Club jijini Dar.Tathmini za paparazi wetu, Shamsa aliyeonekana akipiga mtungi kiaina, zilibaini kuwa staa huyo aliinuka kwenda toileti zaidi ya mara sita hivyo kufanya watu wapoteze utulivu kwa kumuangalia.
 “Mh! Hii kali sasa, bora angesubiri kikao kiishe ndiyo apige mtungi sasa hapa anatibua hali ya hewa,” alisikika mwigizaji mmoja mkubwa...

0 Response to "NOUMA...POMBE BANA..STAA WA BONGO MOVIE SHAMSHA FORD ATIBUA HALI YA HEWA KWENYE KIKAONI...!"

Post a Comment

wdcfawqafwef