ZILE PICHA ZA POZI ZA KIMAHABA ZA AGNESS MASOGANGE NA KIDUME...ZAZUA GUMZO MITANDAONI...!TIRIRIKA NAYO HAPA..

PICHA mpya ya ‘video queen’ matata Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’ na mwanaume mmoja ambaye jina lake halikutambulika mara moja, imezua utata kutokana na ukaribu wao.

Agnes Jerald ‘Masogange’ katika pozi na mwanaume ambaye hakujulikana jina lake.
Picha hiyo ilitupiwa katika mitandao ya kijamii mwishoni mwa wiki iliyopita huku a na maneno kuwa wawili hao åç wapendanao hali iliyosababisha wadau wengi kupongeza kuwa ni kapo nzuri.

0 Response to "ZILE PICHA ZA POZI ZA KIMAHABA ZA AGNESS MASOGANGE NA KIDUME...ZAZUA GUMZO MITANDAONI...!TIRIRIKA NAYO HAPA.. "

Post a Comment

wdcfawqafwef