WEWE UNASEMAJE HAPA: KUPIGANA PICHA ZA UCHI KWA WAPENZI NI SAWA..?


Siku hizi imekuwa ni swala la kawaida kukuta picha za uchi za wapenzi kwenye simu zao. ila tu balaa linakuja kutokea pale simu ile inapopotea. unakuta mtu analia kweli kweli kumbe analia kwa mengi sio kwamba tu eti kwasababu simu yake imepotea, kumbe ni kwasababu ya balaa lililo kuwepo kwenye simu hiyo. Chunga sana Kijana Picha za uchi Nomaa..!!!


0 Response to "WEWE UNASEMAJE HAPA: KUPIGANA PICHA ZA UCHI KWA WAPENZI NI SAWA..?"

Post a Comment

wdcfawqafwef