WATU BWANA NOMA SANA: JAMAA ANASWA AKILA URODA NA BEKI TATU WA MWENYE NYUMBA

http://theclicktz.com/
Kwenye korido jamaa alizidiwa na kuanza shuguli yake na dada huyo wa mwenye nyumba wake, alinaswa na mtoto wa mwenye nyumba hiyo na kisha kwenda kuriport kimya kimya kwa mama yake aliyekuwa chumbani. Mama huyo alifika eneo la tukio na kumwagia maji wote walikimbia wote  mpaka hivi sasa beki tatu hajulikani alipo na jamaa hajawasili geto kwake. Mama huyo mwenye nyumba akiongezea ya kwamba " na bado nawasubiri kwa hamu sana malaya wa kubwa" NOMA.!

0 Response to " WATU BWANA NOMA SANA: JAMAA ANASWA AKILA URODA NA BEKI TATU WA MWENYE NYUMBA "

Post a Comment

wdcfawqafwef