WASANII WA KIKE CHIPUKIZI MSIOGOPE KUTONGOZWA- DAYNA


MKALI wa wimbo wa Mafungu ya Nyanya, Mwanaisha Said ‘Dyana’ amewataka wasanii wa kike chipukizi kuacha kuogopa kutongozwa kwani uamuzi unabaki kuwa kwao.
Mwanaisha Said Nyange ‘Dayna’.

“Namshukuru Mungu mpaka hapa nilipofikia. Vikwanzo ni vingi hususan kwa waimbaji wa kike lakini nawashangaa wale ambao wanakata tamaa ya kuendelea kuimba kisa

kutongozwa.
Wasiogope,” alisema Dayna ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wa Mimi na Wewe.

0 Response to "WASANII WA KIKE CHIPUKIZI MSIOGOPE KUTONGOZWA- DAYNA "

Post a Comment

wdcfawqafwef