TUNAOMBA RADHI KWA KUPOST HABARI AMBAYO YA UCHAFUZI NA ISIYO YA UKWELI KUHUSIANA NA MWANAFUNZI WA CHUO CHA IFM


HII NI KWAAJILI YENU BLOGGERZ WOTE WA TANZANIA INAHUSU KUCHAFULIWA KWA HUYU MDADA KUTOKA CHUO CHA IFM WA DAR.
HII HABARI HAINA UKWELI WOWOTE ULE TUMEJARIBU KUONGEA NA PANDE ZOTE MBILI TUMEGUNDUA JAMAA ALIKUA AKIHITAJI KITU FLANI KUTOKA KWA YULE MSICHANA NA IKAFIKA STAGE AKAWA ANAHITAJI KUTUMIWA PESA ILI ASISAMBAZE PICHA ZA UYO MDADA NA INASEMEKANA ALIIBA SIMU YA HUYO MDADA NA KUMFANYIA UJINGA HUO UKIWA KAMA BLOGGER AMBAE UNAJIVUNIA KAZI YAKO UKIANGALIA VIZURI HIZO PICHA AMBAZO ZIKO UCHI HAZIFANANI HATA KIDOGO YANI TUWE TUNAFIKIRIA MARA MBILI KABLA YA KUPOST

TEAM YA UDAKU MAGAZINE INAHAKIKISHA ITAMFATILIA JAMAA HADI MWISHO NA KUMTIA NGUVUNI

MSIWE MNAPENDA KUKOPI HABARI NA KUPASTE KWANI MNAWAHARIBIA BAADHI YA WATU
BAADHI  YA SMS ZA USHAHIDI ZIPO HAPA CHINI

BLOGZ ZILIZOPOST NI
www.bongoswaggz.com 
BAADA YA KUFATILIWA ALITOA MAJIBU KAMA HAYA
HUO NI UDHALILI SHAJI NA SI HAKI...SUALA LIPO KWENYE MIKONO YA SHERIA LINASHUGHULIKIWA
 
CREDIT PAPARAZI

0 Response to "TUNAOMBA RADHI KWA KUPOST HABARI AMBAYO YA UCHAFUZI NA ISIYO YA UKWELI KUHUSIANA NA MWANAFUNZI WA CHUO CHA IFM"

Post a Comment

wdcfawqafwef