TETESI ZA OMMY DIMPOZ KUSHIKWA NA POLIS LONDON WAJANJA WANADAI NI UZUSHI NA UWONGO, UKWELI SOMA HAPA



Hizi ni picha ambazo zimewekwa mtandaoni na msanii Ommy Dimpoz akiwa kakamatwa huko nchini Uingereza, kwa mujibu wa Ommy Dimpoz hizo picha zipo katika Scene ya video yake mpya ambayo soon itakuwa hewani na wewe kama sahabiki wa Ommy Dimpoz basi kaa mkao wa kula kusubiria kazi nzuri kutoka kwake

SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO

0 Response to "TETESI ZA OMMY DIMPOZ KUSHIKWA NA POLIS LONDON WAJANJA WANADAI NI UZUSHI NA UWONGO, UKWELI SOMA HAPA "

Post a Comment

wdcfawqafwef