MAPYA yaibuka, mchumba wake wa mchezaji soka maarufu duniani Christiano Ronaldo, anayejulikana kwa jina la Irina Shayk akiwa katika pozi la uchi na msanii maarufu duniani wa muziki wa R&B R. Kelly katika gazeti la V.Magazine.
Picha hiyo imeeibua maswali kwa watu wengi kuhusiana na hali hii ya
kumwamini R.Kelly na mwanamke, haswa msichana ambaye amekuwa na
mwanasoka huyo maarufu kwa miaka zaidi ya mitano.
0 Response to "R.KELLY NDANI YA SINTOFAHAMU BAADA YA KUPIGA PICHA ZA UTUPU NA MPENZI WA CRISTIAN RONALDO..!! TAZAMA HAPA..!! "
Post a Comment