NILIKUWA NAMCHUKIA ILA ALIZIDI KUNIONYESHA MAPENZI NA KUNIJALI, SASA HIVI NIKO HOI KWAKE..!! soma zaid hapa

theclicktz.com/
Sifa moja wapo ya kuwa mwanaume ni uvumilivu na kusimamia unachokitaka, John nilikuwa na mchukia hata akipiga simu naona kinyaa kuipokea, hakukata tamaa alijitahidi kila hali kunionyesha kunijali na alibaki kuwa gentleman hakuwahi hata kuniambia mambo ya kufanya mapenzi hadi pale mambo yalipokuwa sawa. Sasa hivi nadhani huyu ndiye mwanaume wa ukweli, hata nilikuwa najifanya nina mtu mara nyingi nilipokuwa nae nilikuwa naongelea kuhusu boyfriend wangu, lakini haikumkatisha tamaa. Sasa hivi John ndio jembe langu, Najiamini nikiwa nae..!! I LOVE U JOHN

0 Response to " NILIKUWA NAMCHUKIA ILA ALIZIDI KUNIONYESHA MAPENZI NA KUNIJALI, SASA HIVI NIKO HOI KWAKE..!! soma zaid hapa "

Post a Comment

wdcfawqafwef