bila shaka kila mmoja wetu anayeishi uswahilini linamgusa kwa namna moja ama nyingine … si linguine ni swala hili la miziki ya kukesha ambayo imejichukulia umaarufu kwa jina la vigodoro, kwa mtu anaye kaa mitaaa ya mbezi beach, upanga au masaki ni viugmu kuelewa nachomaanisha lakini kwa watu wa yombo vituka, tandale kwa tumbo , ukonga mazizini na sehemu kama tandika wananielewa vizuri…
Ni ukweli
usiopingika kuwa hii ni kelo ya watanzania wengi hapa jijini, mara nyingi
miziki hii uanza siku ya alhamisi au ijumaa na kwenda mpaka jumapili… kero hii
inatokana na mtindo wa upigaji wa mziki huu usiozingatia mda ambapo upigwa
mpaka asubuhi bila askujali usumbufu mkubwa wanoupata watu wa karibu na vigodoro
hivyo…sa pata picha umerudi toka kazini sa tano usiku kutokana na foleni
iliyopo mjini na unaamua kujipumzisha kidogo ili uwahi kuamka ukatafute riziki…
kwa sauti ya mziki huu sidhani kama utapata usingizi … kitu ambacho kinaweza
kupelekea uamke umechoka na ushindwe kufanya kazi zako kwa ufasaha,,,, hapa
tunaweza kusema kwamba miziki hii inarudisha nyuma maendeleo ya watanzania nan
chi kwa ujumla. Kero nyingine ya miziki
hii ya usiku ni ukiukwaji wa maadili ya mtanzania kwani kubali ukatae watu
wanni wengi hatuna mageti ya kuwazuia watoto wetu… watoto wengi wa umri wa
chini ya acheza bila kuhofia chochote na mara nyingi kmbani na kukimbilia kwenye
vigodoro hivo na kuwafanya wajifunze tabia amama unavyojua nyumba zetu za
uswahilimiaka kumi na nane wamekuwa wakitoroka ara nyingi sharia inasema baa zifungwe sa sita labda
uwe na kibali naalum kka
wakati snyubazo ni zaidi ya umri wao.
Nadhani imefiajumbani.. m
asa serikali kuangalia upya sharia za upigaji mziki katika kumbi za
starehe na masubuhi na kusababisha kero isiyokuwa ya kawaida kwa
wakazi wa maeneo ya uswahiliniutoka sehemu husika .. lakini hii imekua ni tofauti kwa
vigodoro kwani uenda mpaka
0 Response to "NI AIBUUU WAFUMANIWA WAKIBANJUA AMRI YA SITA,, WAZICHAPA HUKU WAKISAU MAMBO NJENJE,,WAKUBWA ONLY PATAMUUUU"
Post a Comment