Monday, 3 March 2014
Mshuhudie Shilole akiwa ndani ya vazi la Kanga moja kitandani
STAA wa mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameamua kuachia picha adimu akiwa kitandani na kanga moja tu bila chochote kama ishara ya kuwashukuru mashabiki wake kwa sapoti kubwa ambayo wamekuwa wakimpa na kumfanya awe juu kimuziki…
Domo langu limefanikiwa kuzinasa nakala adimu za picha hizo kama zinavyoonekana hapo chini
0 Response to "Mshuhudie Shilole akiwa ndani ya vazi la Kanga moja kitandani"
Post a Comment