mapenzi:UUME KUWA MDOGO........JE, INAWEZA KUKUPA TABU KUFANIKISHA RAHA YA MWENZI WAKO?...PATA JIBU LAKO HAPA.



Mmoja wa mdau wa page hii alinitumia ujumbe mfupi akielezea jinsi anavyojisikia vibaya kutokana na kuwa na uume mdogo..

Kuwa na uume mdogo sio tatizo wala sio ugonjwa,ni maumbile tu kama tulivyoumbwa wengine kuwa warefu na wengine wafupi.Pia kuwa na uume mdogo hakukufanyi kushindwa kuyatimiza majukumu yako ya kutoa "dozi" kwa mwenza wako.Ndugu yangu unaweza kuwa na "SMG" lakini ukashindwa kuitumia,hata bastola pia inaua.

Nachotaka kusema hapa ni kwamba siku zote ktk mapenzi viungo vyote vya mwili vinahusika,na napenda kukwambia kuwa uume hufanya kazi ya mwisho kabisa ya kumalizia hiyo ni baada ya viungo vingine kutimiza majukumu yake.
Unapomwandaa vizuri mwenza wako unamfanya awe tayari kwa tendo,la muhimu ni kujua sehemu ambazo ukimshika mwenza wako anakuwa hoi na wewe unakuwa tayari kuimalizia kazi,ndiyo maana kuna wengine ukimwandaa vizuri ana pizi kabla hata "mzee" hajaingia.Hivyo kuwa na amani ndugu yangu kwani siku hizi wanasema "FUPI TAMU,NDEFU INAKERA"..

0 Response to "mapenzi:UUME KUWA MDOGO........JE, INAWEZA KUKUPA TABU KUFANIKISHA RAHA YA MWENZI WAKO?...PATA JIBU LAKO HAPA."

Post a Comment

wdcfawqafwef