Mkurugenzi
Mwendeshaji wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC),
Elishilia Kaaya akiwa amebeba watoto watatu mapacha Catherine, Caroline
na Cathrine ambao walizaliwa mwanzoni mwa wiki hii katika Hospitali ya
AICC Jjiini Arusha. Wengine pichani ni Mkurugenzi wa Hospitali ya AICC
Prof. Sendui Ole Nguyaine (kushoto), mama mzazi wa watoto hao, Janeth
Kimario (katikati) pamoja na wauguzi wa Hospitali hiyo. (Picha kwa
hisani ya AICC). Mama huyo alijifungua kwa njia ya oparesheni wakiwa na
afya njema. (Picha na AICC)NA JIACHIE BLOG
Wednesday, 5 March 2014
0 Response to "MAPACHA WATATU WAZALIWA SALAMA HOSPITALI YA AICC ARUSHA"
Post a Comment