MAHARUSI HAWA WAFUNGA NDOA WAKIWA UCHI KAMA WALIVYOZALIWA



Kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni,hapa bongoland na sehemu nyingi duniani kwa
ujumla maharusi mara nyingihujipangia mavazi yao kwa ajili ya siku ya harusi yao huku wakitumia gharamanyingi kununulia nguo hizo kama mashela ya gharama na suti za maana na kali.Lakini huko New zealand hayo yote hayaitajiki kwan maharusi hufunga ndoa wakiwa watupu kabisa!!Hawa wanajiita Lowes’ Unclad wedding wakidai wanaonesha uhalisia katika nyanja hiyo.

0 Response to "MAHARUSI HAWA WAFUNGA NDOA WAKIWA UCHI KAMA WALIVYOZALIWA"

Post a Comment

wdcfawqafwef