Home » Uncategories » LAANA SIO BURE..HUDDAH KAPILIZA SASA...ATUPIAMO PICHA AKINGONOKA NA NJEMBA MTANDAONI...
Tuesday, 4 March 2014
LAANA SIO BURE..HUDDAH KAPILIZA SASA...ATUPIAMO PICHA AKINGONOKA NA NJEMBA MTANDAONI...
Mwanadada mwenye vituko vya kutosha Huddah Monroe maarufu kama boss lady hivi karibuni huenda akatupwa
mahakamani baada ya kuvunja sheria na kuweka mambo ya ndani hadharani. Huddah safari hii ametupia picha kwenye mtandao akionekana yupo na njemba
wanavunja amri ya sita bila hata ya kuwa presha wala wasiwasi wowote, hakika mdada huyu
huenda ana matatizo na sio bure tu...
0 Response to "LAANA SIO BURE..HUDDAH KAPILIZA SASA...ATUPIAMO PICHA AKINGONOKA NA NJEMBA MTANDAONI... "
Post a Comment