KUTOKANA NA BUNGE LA KATIBA, MAKAHABA WAONGEZEKA KWA KASI MITAA YA DODOMA





A Ongezeko la  mmomonyoko wa maadili linazidi kushika kasi, siku hizi ushoga n ausagaji kimekuwa kitu cha kawaida sana  sasa sielewi ni kwenda na wakati au ni laana za mababu zetu? Sasa hivi kuna bunge la katiba linaendelea Dodoma  jambo linaufanya mji kuwa busy kupita kiasi … ukizingatia pia kuna vyuo zaidi ya sita mjini hapa..  kama usemi usemavyo mgeni njoo mwenyeji apone… ni kwamba makahaba nao wanatumia fursa eti… sasa hivi ukienda sehemu za starehe mfano master pub,  chako ni chako,  maisha club na hata 84 ni balaaa tupu , zaidi zaidi ukienda na  suti au mavazi ya heshima unaonekana ni walewale wazee wa mjengoni basi utashobokewa balaa na watoto wa kike mradi tu utoe mchuzi., na ukingia club ndo usiseme panajaa makahaba kinoma noma ..  ukikaa counter lazima wakusumbue kwa kukulegezea macho ,  lakini inaonekana wanunuzi wapo kwani wangekuwa hawapo wasingeendelea kujiuza  au unasemaje mdau? Na inasemekana wengine wanatokea mikoa ya jirani..  na si hao tu unambiwa wengine wanatoka dar, arusha nk.  Kuwa makini achana na michepuko sio dili baki njia kuu..
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg2h9rZAJ6Vc-uNyYrvcEIb9SS6cRZ5h8i-T764NU5Ql-Gp99iIEuD77sGMbrXQMX0ZEb73RAvEJkuR5tXHpLjnNEI3dcwn54HLJBpbjnBMG2kpLyV1SFbn0B65pTHVeaFrcB8QciGgc6I/s640/47284_548071621874168_1124142634_n.jpg

0 Response to "KUTOKANA NA BUNGE LA KATIBA, MAKAHABA WAONGEZEKA KWA KASI MITAA YA DODOMA "

Post a Comment

wdcfawqafwef