JUX NA MTOTO MURUA MATATA KWA KITANDANI....!!SIO UFIKIRIAVYO....!!!jua kuna kitu kizuri kinaandalia...tazama hapa behind the scene


  Jux na Mrembo

Mwana muziki wa bongo flava maarufu kwajina la Jux aonekanae kwenye picha na mrembo moja kitandni hii inasemekana ni shooting ya moja ya video ya msanii huyo na huyo dada ni video queen ...inaonyesha video kunoga kama picha zao zilivyonoga...

0 Response to " JUX NA MTOTO MURUA MATATA KWA KITANDANI....!!SIO UFIKIRIAVYO....!!!jua kuna kitu kizuri kinaandalia...tazama hapa behind the scene "

Post a Comment

wdcfawqafwef