JAMANI JAMANI HIVI SHILOLE ALIFIKIRIA NINI KUPOST PICHAZ ZA MAH*ABA KAMA HIZ MTANDAONI ?? JIONEE HAPA

https://www.facebook.com/theclicktz
Imelda Mtema na Musa Mateja
STAA wa mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amedhihirisha kuwa ni sikio la kufa baada ya kusema yeye ni miongoni mwa wanawake wanaojua  kuchuna mabuzi.
Zuwena Mohamed ‘Shilole’.
Kauli hiyo imechochea vigezo vya kumfanya Shilole aonekane hasikii kwani wiki kadhaa zilizopita mchungaji wa kanisa moja lililopo Ubungo, jijini Dar ambaye hakujulikana jina lake, alimtaka kuishi katika sura ya kumpendeza Mungu lakini inaonekana amempuuza.
Akizungumza na Risasi Mchanganyiko juzi, jijini Dar es Salaam, Shilole alisema alitunga wimbo wa Nachuna Buzi kwa sababu anajua kuwa wanawake wengi ni mafundi wa tabia hiyo akiwemo yeye mwenyewe!

0 Response to "JAMANI JAMANI HIVI SHILOLE ALIFIKIRIA NINI KUPOST PICHAZ ZA MAH*ABA KAMA HIZ MTANDAONI ?? JIONEE HAPA "

Post a Comment

wdcfawqafwef