JAMAA ANUNUA BUSU TUUU KWA KIASI CHA LAKI TATU KUTOKA KWA MREMBO HUYU..!! TAZAMA NA SOMA HAPA

http://theclicktz.com/
Jamaa mmoja alijikuta ikimtoka pesa ndefu baada ya kuomba kupigwa busu na mrembo mmoja wakati
wakiwa chobingo, mrembo huyo alienda kumtembelea jamaa nyumbani kwake na baadae kuanza kupiga mvinyo, Siunajua tena masifa na vile tena mitungi imeshaanza kupanda, jamaa akaomba apigwe busu tu kwani dada huyo alikuwa hataki hata kusogelewa. jamaa alijitoa muhanga kwa kuahidi kutoa laki tatu endapo atapatiwa busu tuu mrembo alifikiri ni utani lakini mwishowe alipewa fungu hilo na yeye mwenyeweee alitoa busu matata. Kama sikosei baada ya pombe kuisha jamaa alijuta sanaaaa,..!!! Kama ungekuwa ni wewe utamuomba akurudishie au ndio imetoka hiyo..?

0 Response to " JAMAA ANUNUA BUSU TUUU KWA KIASI CHA LAKI TATU KUTOKA KWA MREMBO HUYU..!! TAZAMA NA SOMA HAPA "

Post a Comment

wdcfawqafwef