HUYU DADA MILEY CYRUS KASHASHINDIKANA..!! TAZAMA PICHA ZA MAMBO YA AJABU AJABU ALIKUWA ANAYAFANYA JUKWAANI..!!






Pop Star Akiwa Anaimba Huku Akiwa Anaelea angani Na Mfano wa Pulizo "A hot Dog"(picha:getty images)



Kama Kawaida Huku Ulimi Wake Ukiwa Nje Miley Cyrus Anazinyatia  Us Dollars(picha:getty images)



 Miley Cyrus Akifanya Ishara Za Ngono Kwa Mmoja Wa Background Dancers Aliyekuwa Amevaa Akafanana Kama Rahisi Wa Zamani Wa Marekani Bill Clinton.(picha:getty images)


Miley Cyrus libadili Mpaka Nguo zaidi ya 10  Kila Baada Ya Muda Mfupi katika shoo moja Kama Picha Zinavyoonesha.(picha:getty images)



Miley Cyrus Akiwa na Kitu Mfano wa  Kidole Wakati Akifanya shoo katika Tour Yake Hiyo"Bangerz"(picha:getty images

0 Response to "HUYU DADA MILEY CYRUS KASHASHINDIKANA..!! TAZAMA PICHA ZA MAMBO YA AJABU AJABU ALIKUWA ANAYAFANYA JUKWAANI..!! "

Post a Comment

wdcfawqafwef