ALLY KIBA.
DIAMOND
Kwa baaadhi ya watu imekuwa ni ngumu kuamini kuwa msanii akisema kuwa hackers kwenye mitandao hii ya kijamii ndio chanzo halisi cha baadhi ya Beef zinaotokea ,haswa zile zinaotokea kutokana na kutumiana message kusema jambo baya kwa mwenzie,hii yote inatokea kutokana na watu wanaotaka kujinufaisha na mambo yao wenyewe kupitia account binafsi za watu maarufu na kutengeneza beef kwa kuwatumia message za kukejeli..imekuwa hadi kero hivi sasa kwa watu maarufu na wengine kusababisha kujitoa kabisa katika mitandao hiyo ya kijamii kuepukana na vitu kama hivi vinavyozidi kutokea siku hadi siku.
Ya Kala Jeremiah kati ya Diamond Platnumz Vs Ali Kiba
Hii ni moja ya beef iliyotengenezwa na hawa hackers wa mitandao
iliyosababisha na kugeuka kuwa beef la ukweli ambapo umeweza kuleta
maoni na muonekano tofauti kwa mashabiki wa wasanii hawa ,ingawa ukweli
ni kwamba watu wanaojiita hackers ndio wameandika haya yote kwa sababu
zao binafsi na si wasanii hawa,hadi kuishia kwa msanii Diamond kujibu
mapigo kupitia account yake ya instagram kuhusu bifu na maneno
yanayosemwa na wasanii wenzake wanaojaribu kusema mambo hayo kuhusu
yeye.
Mambo yalianza kama hivi baina ya Ali Kiba Na Diamond kupitia Facebook:
Naye Diamond aliamua kujibu maneno haya kupitia account yake ya Instagram baada ya ukimya wa muda:
Baada ya shutuma hizo zilizosababishwa na watu wengine kabisa
wanao-hack account zao na mashabiki kushangazwa na kuwa kalla jeremiah
si kawaida yake kutoa maneno kama hayo tena kwa wasanii wenzake ,aliamua
kuja na kuweka wazi shutuma hizo na kuzidi kuonyesha kuwa ni kazi ya
hackerz wa mtandao huo wa facebook ndio wanaotuma message hizo kupitia
account yake binafsi.
0 Response to "HIKI NDICHO KINACHOTAJWA KUWA NDIYO CHANZO CHA BIFU KATI DIAMOND NA ALI KIBA !!!!. "
Post a Comment