Thursday, 6 March 2014
HATA KAMA UKO NDANI YA GARI, LAKINI MIKAO MINGINE HII NI UTATA MTUPU, MTU AKIOMBA LIFT JEE..!!
Jamani
msione magari mengine yanakuwa na tintedi huko ndani ni hatari tupu,
mambo kama haya ni kawaidi kwenye magari ya tintedi , unakuta mtu kakaa
kama anataka kujisaidia kavaa nguo kama hajavaa vile yani ni shida ,
sasa kwamfano umekutana na baba mkwe njiani inabidi umpe lift itakuaje
mana hapo hata kanga labda huna utamuweka wapi..?? au umempa kijana lift
hapo, si unajua tena
0 Response to "HATA KAMA UKO NDANI YA GARI, LAKINI MIKAO MINGINE HII NI UTATA MTUPU, MTU AKIOMBA LIFT JEE..!! "
Post a Comment