Hemed akiwa na video queen Zuhura Gora.
BRAZAMENI mwenye swaga za utozi kwenye soko
la filamu Bongo, Hemed Suleiman ‘PHD’ amewataka wanawake wanaommendea kukaa naye mbali kwani tayari anajiandaa kumuoa mpenzi wake aliyemtaja kwa jina la Muna.
Kuonesha msisitizo, Hemed alifunguka:
“Mambo ya ujana nimeyaweka kando, nimeamua kuoa kabisa maana ukiendekeza mambo ya ubachela siyo mazuri sana, vidosho viniache.
0 Response to " BRAZAMEN HEMED PHD SASA ATANGAZA KUOA....SHUKA NAYO HAPA "
Post a Comment