Home » Uncategories » AIBUUUUU: DJ WA MAISHA CLUB DODOMA ...ANASWA LIVE AKIFANYA MAMBO MAZITO NA MHESHIMIWA ....
Friday 21 March 2014
AIBUUUUU: DJ WA MAISHA CLUB DODOMA ...ANASWA LIVE AKIFANYA MAMBO MAZITO NA MHESHIMIWA ....
Dj
maarufu wa New Maisha Club Dodoma ajikuta kwenye wakati mgumu baada ya
kunaswa na Paparazi katika hali ambayo si ya kawaida, Ilikuwa ni majira
ya usiku mnene ambapo Dj huyu wa Maisha Club alinaswa na Paparazi wetu
maeneo flan akiwa na msichana mdogo mdogo ambaye inasadikika na
Mheshimiwa wa cheo kikubwa serikalini(Jina tunamhifadhi),
Paparazi
wetu aliwanasa wakipeana ladha wazi wazi na kila mmoja kuonekana
mdhaifu kwa mwenzake,Dj Abou pamoja na mheshimiwa huyo baada ya
kushtukua amenaswa na paparazi wetu,Alimshushia mkwala mzito sana na
kutishia kufunja camera ya paparazi wetu, lakini mkwala huo uliishia
kupotelea angani baada ya wasamaria wema kuja kumaliza mzozo huo.
0 Response to "AIBUUUUU: DJ WA MAISHA CLUB DODOMA ...ANASWA LIVE AKIFANYA MAMBO MAZITO NA MHESHIMIWA ...."
Post a Comment