kike...Mustapha ambaye amezua gumzo siku za hivi karibuani baada ya picha yake na ex girlfriend wa Prezzo Huddah Monroe kusambaa mtandaoni na huku yeye mwenyewe akisema kuwa anajibebea mzigo
Hata hivyo imekuwa ngumu kwa mashabiki kuukubali uhusiano huo wengi wakidai ni kutafuta kiki tu ila Mustapha hana uwezo wa kumchukua Huddah ambaye anafahamika kwa kutoisha vituko na kupenda sana chapaa......!!!!
Akiongea na Clouds FM muda huu Mustapha aliaga kwa kutoa ujumbe mzito ya kuwa "Mtoto wa Ilala kamzidi ujanja tajiri wa Nairobi"
HABARI NDIO HIYO...
0 Response to "MUPYA..HATARI SANA.."MTOTO WA ILALA DAR KAMZIDI UJANJA TAJIRI WA NAIROBI KENYA...!"SOMA ZAIDI HAPA...!! "
Post a Comment